nje ambaye ana mileage kubwa kukushinda wewe, hawezi hata siku moja kukupromote na maana ya collaborations ni kuleta audience mbili tofauti zije pamoja kutengeneza nguvu kubwa zaidi,” ameongeza.
Vee amedai kuwa collabo na msanii mkubwa wa Marekani inaweza kufanikiwa iwapo tu kutakuwepo na ushkaji mkubwa kati yao na tena wa muda mrefu na awe anajua hustle ya msanii huyo na anatamani afike sehemu.
“Halafu hizi collabo nyingi kuna kulipana na nini, it doesn’t make sense. And watu wanakuja Afrika, hiyo ni pointi ya nne, so If you the baddest in Africa, baddest in Tanzania, watakujua tu so I am not in a rush kutengeneza nyimbo ambayo haitaenda kufikia the top of the charts. I am in a rush to create a brand so big that wao wenyewe watakuja kunitafuta,” amesisitiza Vanessa.
0 comments:
Post a Comment