Najua mwaka 2017 umeanza na mambo mengi ya kushangaza jamii na mashabiki wa muziki, ila hii video ya wimbo wa “Somos anormales” itakuacha mdomo wazi.
Producer, Rapper, mwandishi na founder wa group la muziki la Calle 13, Residente ameachia video ya wimbo wake mpya wa “Somos anormales” wenye maana ya (We Are Abnormal) umekuwa ndio wimbo wa habari ya mjini kwenye kila kona ya mitandao kutokana na video kuwaonyesha watu wakiwa watupu, achana na ya Kanye west ile ya ‘Famous’ hii ni shidaah zaidi.
Ndani ya video wamehusika watu kibao pamoja na Actor maarufu anayefahamika kama John Leguizamo wanaonekana wakiwa wamezaliwa kutoka kwenye vagina ya mdada mmoja ambaye ametotoka kwenye yai, video hiyo imetengenezwa Madrid.
Angalizo, kuanzia miaka (18+) kutazama video hii, Content yake imehusisha watu kukaa utupu.

0 comments:
Post a Comment