Sunday, January 15, 2017


ASKARI; Kijana nasikia harufu ya bangi hapa umevuta??


MIMI; Nasikia harufu ya mavi hapa vipi umekunya?🌚🌚

Sijui kanifanyaje na buti lake ila nina muonekano mpya usoni na jicho moja sioniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

0 comments:

Post a Comment