Waziri Mkuu amesema hayo alipoembelea kiwanda cha chai cha Kibena kilichopo Mkoani Njombe..
Kiwanda hicho kinachomilikiwa na wawekazaji kimetoa ajira kwa watanzania zaidi ya elfu mbili miatano,Waziri Mkuu ametoa wito kwa viongozi wa mkoa wa Njombe.
Mkurugenzi wa Kibena Tea estateBw ALLAN AGOITIS ana amemweleza waziri Mkuu Chai ya Tanzania inashika nafasi ya Tatu kwauzalishaji wa zao hilo katika nchi za afrika mashariki
Waziri mkuu amesema serkali ya awamu ya tano imedhamiria kuendeleza viwanda vilivyopo nchini na kujenga vingine ilikukuza soko la ajira pamoja nakukuza uchumi wanchi
Piamewataka wafanyakazi katika kiwanda hicho kufanya kazi kwa uaminifu na bidii ili wawekezaji waweze kuendelea kuwepo hapa nchini

0 comments:
Post a Comment