Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiakaribiwahwa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka baada ya kuwasili Makambako kuendelea na ziara ya mkoa huo, Januari 25, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Njombe, Deo Sanga baada ya kuwasili Makambako kuendelea na ziara ya mkoa huo, Januari 25, 2017. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:
Post a Comment