Monday, February 6, 2017


Tumesikia baadhi ya wasanii wakianzisha label zao za kusimamia wasanii, baadhi ya hao ni Diamond

platnumz, Baraka Da Prince na Shilole. Najua wengi hamlijui hili ila ni kwamba msanii Ali Kiba nae kaanzisha Music label yake.

0 comments:

Post a Comment