Si
kweli kwamba Diamond aliitwa kuhojiwa sababu ya kujihusisha na Madawa
ya Kulevya, Bali aliripoti Polis baada ya Video yake kusambaa
ikimuonesha akivunja sheria za barabarani.
Haya ndio Maneno aliyoyaandika Diamond...

"Leo nilireport kituo kikuu cha polisi wa usalama barabarani kutokana na Vidoe Clip tuliyopost naendesha gari barabarani bila kufunga mkanda na pia kuachia usukani na kucheza.... Nikapewa Onyo na Kulipa faini kulingana ya Mujibu wa sheria... Tafadhali watanzania na Vijana wenzangu...
Ttuhakikishe tunafunga mikanda pindi tupandapo na tuendeshapo Magari Maana ni Hatari kwa Maisha yetu na inaweza kukupeleka kunyea debe pia.."

0 comments:
Post a Comment