Friday, February 10, 2017

Hili ndilo Jengo analosema Mbunge Msukuma kuwa ni Jengo la Mkuu wa Mkoa wa Dar Makonda lililopo Mwanza na kwamba amelipata katika Mwaka mmoja tu wa URC wake.......kumbe ukweli ni wala hili Jengo halipo Mwanza ila ni Hoteli ya Mwananchi mwingine kabisa huko Kigoma!

0 comments:

Post a Comment