Wednesday, February 8, 2017

 Image result for kamanda siro

Kamanda wa kanda maalumu ya Dsm,Kamanda Sirro,amewaambia waandishi wa habari kuwa bado wanaendelea kumshikilia Tundu Lissu ktk kituo kikuu cha Polisi kwa siku ya tatu bila dhamana na hawajamfikisha mahakamani.


Lengo la kuendelea kumshikilia ni kuendelea kufanya upelelezi wa matamshi yake na kujihakikishia pasi na shaka kuwa Tundu Lissu ana kesi ya kujibu.

Hadi pale upelelezi huo utakapokamilika,basi Tundu Lissu atafikishwa mahakamani.

0 comments:

Post a Comment