Friday, February 10, 2017

[​IMG]

Pia Sirro amesema Askofu wa Kanisa la ufufuo na Uzima Josephat Gwajima na Mfanyabiashara maarufu Yusuf Manji walilala polisi kwa kuwa bado upelelezi dhidi yao unaendelea.

"Operesheni ya dawa za kulevya bado inaendelea na kuanzia sasa hatutaruhusu mkusanyiko wa wananchi karibu na kituo cha polisi hiki watakaoonekana watashughulikiwa Kamishna Sirro kwa kuwa tayari nimeshatoa taarifa."


Chanzo: Mwananchi
 

0 comments:

Post a Comment