Posted by Williammalecela.com on Friday, February 10, 2017
 |
"Maazimio ya bunge kutaka Makonda na Mneyti kuja bungeni kuhojiwa na
kamati ya bunge ya hadhi, madaraka na Maadili ya Bunge, na hata kumtaka
Rais John P. Magufuli atengue uteuzi wao hayakufuata utaratibu wa
kibunge kwahiyo hayatafanyiwa kazi"
-Dr Thomas Kashilila
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katibu
wa bunge, Dr.Thomas Kashilila amesema kwamba, Maazimio ya bunge kutaka
Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Bw.Paul Makonda na Mkuu wa Wilaya ya
Arumeru Bw.Alexander Mnyeti waende bungeni kuhojiwa, na kumtaka Rais
atengue teuzi zao, hayakufuata utaratibu wa kibunge kwahiyo
hayatafanyiwa kazi.
|
0 comments:
Post a Comment