Thursday, February 23, 2017

a88bba6e-ed7e-422b-a17d-e0de0abb7490.jpg
tmp_8088-IMG-20170223-WA0028-1286468311.jpg
Chama kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe, baada ya kesi ya kikatiba namba 1 ya mwaka 2017 inayotarajiwa kuwasilishwa Mahakama Kuu leo,
kitazungumza kwa umma kupitia waandishi wa habari na kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo akiwemo msanii Wema Sepetu.
Mbowe na Lissu wanawasilisha hadi ya mashitaka iliyorekebishwa na kumuongeza Mwanasheria Mkuu. Wema Sepetu yupo Katikati ya Esther Bulaya na Mbowe.

Baada ya hapa Mbowe ataongea na Waandishi.

0 comments:

Post a Comment