Thursday, February 2, 2017

Image result for petitman wakuache images
Habari zilizotufikia punde zinasema Mpambe maarufu wa Wema Sepetu kwa jina "Petit Man Wakuache", ni mmoja wa Vijana wengi waliokamatwa na Polisi kwenye Operation maalum iliyofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Makonda jana usiku. Inasemekeana Vijana 20 walikamatwa na wengine wanasakwa kuhusiana na kuhusika kwao na biashara hiyo ya Madawa ya kulevya. Pia Mwanamama Wema Sepetu naye ametajwa kutakiwa kwenda kuripoti Polisi kuhusiana na tuhuma za kutumia madawa ya kulevya.

0 comments:

Post a Comment