Thursday, February 16, 2017

Serikali kupitia Wizara Ya Afya imevifuta Vituo vyote vinavyotoa huduma za Afya ya VVU Na
Ukimwi kwa Makundi Maalum baada ya kubainika kwamba Vituo hivyo vinahusika na kuhamasisha Mapenzi ya Jinsia Moja na Ushoga.

0 comments:

Post a Comment