Tuesday, February 21, 2017

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe leo February 21 2017 amefika Mahakama kuu Dar es salaam kwenye kesi yake dhidi ya dhidi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, Kamishna Simon Sirro na ZCO Wambura.

Baada ya kesi viongozi wa CHADEMA pamoja na Wanasheria watazungumza na Waandishi wa habari hapahapa Mahakamani kuhusu tukio la jana la Freeman Mbowe kushikiliwa Polisi hadi saa 7 usiku alipoachiliwa kwa dhamana baada ya kupekuliwa nyumbani kwake na kutakiwa kuripoti tena Jumatano wiki hii.
Vilevile watazungumza kuhusu kesi hii ya kikatiba namba 1 ya 2017, unaweza kutazama hii video fupi hapa chini Freeman Mbowe akiingia Mahakamani leo.



0 comments:

Post a Comment