Posted by Williammalecela.com on Friday, February 03, 2017

Hatimaye Kaka yetu Diamond Platinumz kasainiwa kimya kimya kwenye label ya Universa Music branch ya Africa. Ni jambo jema na la maendeleo for his music carrier.
Lakin pia hapa tunapata somo la kujifunza kuwa sometimes tujifunze kuweka akiba ya maneno hasa mtu ukiwa ni public figure. Miezi 8 iliyopita tulishuhudia maneno ya kashfa na majigambo kutoka kwa Diamond kuwa " Hawezi kuwa signed na label yoyote ile sababu hakuna cha ziada ambacho ataongezewa kwa kuwa signed, Kuwa kama hela anazo, connections anazo. Pia akafika mbali zaidi kwa kusema wanaokuwa signed wengi wao mziki wao umefika mwisho ndio maana wanasainiwa kusaidiwa.
Lakini sasa ukweli umekuwa dhahiri hakuna business partnership bali ni kuwa signed offically under Universal music ya tawi dogo la Africa. No more secret, no more business partnership its all about being Signed.
MY TAKE: Namshauri sasa Mondy atoke tena hadharani kuuelezea umma na mashabiki zake kuwa nini kimebadilika kwenye labels hizi alizolizoponda miez 7 iliyopita. Pia haoni kuwa ni aibu kwa msanii public figure kama yeye kuwa na kauli double standards zinazobadilika kama kinyonga sababu inakuwa ni sawa na mtu kula matapishi yake mwenyewe.
No room for hating ila tunakumbushana tu.
Truth be told
0 comments:
Post a Comment