Tuesday, February 14, 2017

Kama umekuwa ukimfuatilia kwa karibu mrembo mwenye kiki zake mjini Gigy Money naamini utakuwa umegundu ni mmoja kati ya watu ambao maneno ya watu hayawapunguzii chochote katika maisha yao.Kwasababu ni mmoja kati ya watu ambao naamini wameongoza kwa kusemwa kutokana na kile ambacho anakifanya kuonekana kama ni uvunjifu wa maadili katika jamii zetu za kitanzania.
Sasa jana kupitia page yake ya Instagram Gigy Money ameamua kuwachana wote wale ambao walikuwa wakimsema kipindi cha nyuma wakati yeye anaanza kufanya mambo hayo halafu leo hii na wao wamekuwa wakimuiga kufanya kile ambacho yeye anafanya.

0 comments:

Post a Comment