Kanye West ameamua kuipeleka Yeezy Season 5 fashion show kwenye next levo kwa kumvuta binti wa miaka 19 ambaye alivalia hijab wakati wa mashindano ya Minnesota’s Miss USA yaliyofanyika Novemba.Jina halisi anaitwa Halima Aden ni binti wa Kisomalia ambaye anaishi marekani mzaliwa kutoka kambi ya wakimbizi wa Kenyan, kwa sasa amesainiwa na IMG katika kuiendesha show hiyo ya 5 ya Yeezy.Lengo kubwa ambalo Kanye West ameamua kumchukua Halima Aden ni kuonyesha jinsi gani anavyokingana na kauli ya Donald Trump ya kupinga wakimbizi kutoka mataifa ya Kiislamu kuingia nchini Marekani
Kupitiakurasa yake ya InstagramHalima Aden aliamua kushare ujumbe kwa mashabiki zake kwa kupata nafasi ya kuwa kama Model kwenye Fashion show hiyo ya Yeezy Season 5, pamoja na kushare picha za matukio ya Yeezy Season 5.



0 comments:
Post a Comment