Ingawa
mwenyewe amekuwa akikanusha kila kukicha, mrembo tajiri mwenye maskani
yake nchi jirani ya Uganda na Afrika Kusini, Zarinah Hassan a.k.a Zari
au The Boss Lady, anadaiwa kuwa na mtungo mrefu wa wanaume ambapo kama
ni kweli anatoka na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’
basi jamaa huyo atakuwa anashika nambari 13.
Jarida
hilo lilieleza kwamba ndani ya kipindi cha miaka 14 baada ya kutimiza
umri wa mtu mzima wa miaka 18, Zari mwenye umri wa miaka 32 sasa,
ameshajiachia na wanaume wa kada mbalimbali wakiwemo vigogo serikalini,
wafanyabiashara, mastaa wa tasnia mbalimbali na hata vijana wadogo
Staa
wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na Zarinah Hassan
a.k.a Zari au The Boss Lady.Kwa mujibu wa jarida la linalodili na
habari za showbiz (biashara ya shoo) la E-Vibe la nchini Uganda la hivi
karibuni, anadaiwa kuwa ‘klozi’ na idadi hiyo ndefu ya wanaume.Stori:
Sifael Paul
0 comments:
Post a Comment