Monday, February 27, 2017

Ridhiwani Kikwete amepost picha ikimuonyesha uwanja wa taifa akionekana kumgusa Freeman Mbowe ili amsalimie ambapo kwenye caption ameandika “Kaka tusalimiane kidogo kwa afya ya Yanga”


0 comments:

Post a Comment