Ujumbe huo ulisomeka hivi.. “Alhamdulillah… I said it once and I’ll say it again… What doesnt Kill you only makes you Stronger…. On behalf of Young africans niseme tu Asante Mungu kwa kututolea Manji wetu ndani.. Mule ndan sio sehemu nzuri kabisa jamani… Na anaekupeleka kule hawezi kua rafiki hata kidogo… Tena wa kukaa nae mbali kabisa… Inshallah all will be well… Nimefurahi kwakweli… Kama kawaida sitaki maoni… And naona hii ndo iwe mfumo mpya… Turn off comments basi… All in all, Welcome Back!”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment