Saturday, February 11, 2017

Ikiwa ni katika kuitekeleza ahadi aliyotupa siku chache zilizopita mrembo wa Bongo Movie Irene Uwoyakuelekea siku muhimu ya wapendanao Valentine’s Day.Mrembo huyo ameendelea kutudadavulia baadhi ya viu ambavyo hatuvifahamu katika suala zima la mapenzi kuhusu yeye.Sote tunakumbuka kuwa juzi alituambia kuwa anavutiwa zaidi na wanaume wenye sura mbaya kwenye mapenzi, lakini leo hii ameendelea kutilia mkazo katika point ile ile na kudai kuwa havutiiwi na wanaume wenye swaggz nyingi na vitu kama hivyo.Ni kupitia page yake ya Instagram ndio sehemu ambayo anaandika mambo yote hayo.

K

0 comments:

Post a Comment