Wednesday, February 15, 2017

Katika kuadhimisha siku ya wapendanao ambayo ilikuwa ni jana february 14 ni wengi ambao walitumia muda wao katika kuwatambulisha wapenzi wao na hata wengine kudumisha mahusiano yao kwa kufanya yale ambayo wanahisi yatawafurahisha wapenzi wao.

Haikuwa tofauti sana kwa hitmaker wa ngoma ya “Wivu” Juma Jux baada ya kuamua kutupia picha katika page yake ya instagram na kuandika caption ambayo ilitoa picha kamili kwamba mkali huyo amekolea mapenzini na mtoto mzuri Vanessa Mdee ambaye kila mmoja anafahamu ndio mpenzi wake.
Screenshot_2017-02-15-01-29-21

0 comments:

Post a Comment