Friday, February 3, 2017

Mkutano na Media leo wa kutangaza kuungana kwa kampuni za usambazaji wa Intaneti za Raha Fiber na Liquid kutoka South Africa, kutoka kushoto ni Mkuu wa Mauzo Said Ali, Mkuu wa Ufundi Nyangu Meghji, Mkurugenzi Mkuu Aashiq Sharrif, Msaidizi wa Mkuu wa Mauzo Dada Blandina na Mkuu wa Mauzo Karim Khan. Mkutano huu umefanyika leo asubuhi kwenye Hotel ya Kitalii ya Serena Hotel. Mkurugenzi wa Raha Fiber alisema kwamba muungano wao unaiimarisha kampuni hiyo kuwafikia wateja wengi zaidi Tanzania ambako tayari kampuni hiyo ina vituo 150 vinavyotoa huduma ya Intaneti ya "WIFI" bure na kuwafikia wananchi 150,000 kila siku.








0 comments:

Post a Comment