Monday, February 13, 2017

Rais John Pombe Magufuli alizungumza wakati wa kuapishwa kwa Kamishna mpya wa kupambana na dawa za kulevya pamoja na mkuu mpya wa Uhamiaji Tanzania.
Moja ya alivyovisema ni kuhusu dawa za kulevya na pia Watanzania waliofungwa nje wasishughulikiwe kivyovyote na Mabalozi na Wizara ya mambo ya nje, tazama kila kitu kwenye hii video hapa chini

0 comments:

Post a Comment