Tuesday, February 7, 2017

                     

Wakili Alberto Msando ndiye aliyewatetea watuhumiwa wote bure hii leo baada ya kupandishwa  mahakamani kisutu.


serikali iliomba hakimu  atoe hukumu ya watuhumiwa  woote  kuchunguzwa kwa muda wa miaka mitatu pamoja na kuripoti polisi kwa mwezi mara mbili , lakini hukumu iliyotoka ni kwamba watuhumiwa watachunguzwa tabia zao kwa mwaka mmoja tu  na kuripoti polisi    na dhamana ya shilingi milioni 10  ambayo sio dhamana ya mali wala fedha isipokuwa ni wao kujidhamini wenyewe, na kesi zao zimekwisha .!!!

TAARIFA ZINASEMA WEMA SEPETU Bado ameendelea kushikiliwa  na polisi........

0 comments:

Post a Comment