1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni2.Husafiri bila passport nje ya nchi
3.Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully
4. Ana mtunga mashairi wake maalumu.
5.Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela
6.Bila ruhusa yake hakuna muswada utapitishwa kuwa sheria
7. Ana uwezo wa kutolipa kodi
8.Ana uwezo wa kumuonya waziri yoyote, na hata kumwajibisha
9. Ni malkia wa Australia pia
10. Ukiacha ukuu wake katika UK
pia anaongoza nchi zifuatazo
Australia
Antigua and
Barbuda,
the Bahamas,
Barbados,
Belize,
Canada,
Grenada,
Jamaica,
New Zealand,
Papua
New Guinea,
Saint Kitts
and Nevis,
Saint Lucia,
Saint Vincent
Grenadines,
Solomon Islands
Tuvalu.
11.Ni mwenyekiti wa kanisa la Anglikana
12. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia
13. Anakinga ya kutoshitakiwa
14. Anamiliki ndege aina ya swans, kongoro katika mto thames
15. Anauwezo wa kumteuwa spika kwa amri yake
0 comments:
Post a Comment