Mwanamashairi nguli nchini Mrisho Mpoto amepost picha katika akaunti yake ya Instagram siku zilizopita ameposti picha akiwa amevaa tisheti na jeans.
Mpoto amekuwa na desturi ya kuvaa mavazi ya asili pamoja na kutembea peku peku lakini katika picha aliyopost aliamua kuulamba.



0 comments:
Post a Comment