"Tulipotaja
List of shame Pale MwembeYanga mwaka 2011 - tulitaja watu ambao
walikuwa na heshima kitaifa na
kimataifa,Tena majina yalitajwa na kubebewa Bango na wanasheria Nguri,Wakili Msomi Tundu Lisu na wakili Msomi Mabere Nyaucho Marando,na gazeti maarufu la wakati huo(MWANAHALISI) liliyatoa majina ya mafisadi tajwa Front Page, -Hakika waswahili walinena-MKUKI KWA NGURUWE KWA BINADAMU MCHUNGU)
-Hongera Sana Rafiki na ndugu yangu Paul Makonda-NAKUTIA MOYO PAMBANA,UMETHUBUTU NA MUNGU AKUPE NAFASI USHINDE-Mh.Rais aliacha wengi ,Mungu akanyoosha mkono tuwe sisi-NA TUIFANYE KAZI HII KWA FAIDA YA WATANZANIA,-Piga kazi,itisha press weka mambo hadharani,KAMA AMBAVYO mafisadi Papa na nyangumi (MIAKA hiyo)waliita press za kuiambia Dunia Nani anafisidi nini,TUPO PAMOJA-Walk with Confidence!!!!" - A. Mtaka RC Simiyu.

0 comments:
Post a Comment