Ni Mgogoro uliodumu kwa miaka 10 na kuzua misuguano YA viongozi na wananchi- Atangaza mpaka mpya baada YA Tume aliyoiunda kukamilisha kazi . Tume ikishirikisha watalaam wa ardhi, viongozi ,wazee na viongozi wa mila
- Atangaza mpaka uliridhiwa na WANANCHI wakubali na kuhaidi kuheshimu mpaka huo na Mkuu wa Mkoa Atoa siku 7 kuweka mawe YA mipaka

- Awaonya viongozi wa Vijiji waliogawa ardhi kinyume cha TARATIBU na kuwapatia wenye uwezo na kuwaacha wanyonge hawana Ardhi

- Auunda kikosi kazi cha watalaam na vyombo vya dola kuhakiki ugawaji wa Ardhi ktk Vijiji 7 wilayani Mbarali endapo ugawaji wa Ardhi ulizingatia sheria YA Ardhi mwaka 1999

- AHAIDI tume ikibaini ugawaji ardhi hakufuata UTARATIBU atairejesha ardhi yote KWA WANANCHI
-
0 comments:
Post a Comment