Mlimbwende anayekuja juu kwenye industry ya Bongo Fleva Lulu Diva amefunguka kwenye kipindi cha XXL cha Radio Clouds kuwa watu wengi wanamchukulia Kaka yake Idris Sultan kama Dume Suruali.
Idris mchekeshaji asiyeishiwa vituko na anayekuja kwa kasi kwenye zone ya Afrika mashariki anapiga mzigo kwenye kituo cha radio cha Choice FM kipindi cha Mji Wa Burudani along Side Feza Kessy na Tee Ze Best. Utata uliibuka pale Number One Tz favourite presenter Adam Mchomvu aliposema hawezi kuwa na ushemeji na Idris Sultan fahamu Lulu na Idris ni mtu na Kaka yake mtoto wa Baba Mkubwa na Mdogo kabla ya kuzama kwenye mziki Lulu Diva aliwahi kuwa Miss Pwani Mwaka 2007. Siku ya leo Lulu Diva ameachia wimbo wake wa pili unaoitwa USIMUACHE.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment