Wednesday, February 8, 2017

Shilawadu wamezifikisha mezani taarifa zinazomuhusu mkali wa Bongo FLeva anayetamba na ngoma yake mpya ya Kiherehere Linex Sunday Mjeda kuhusu kumtapeli mfanya biashara mmoja wa nguo pande za Mwenge jijini Dar es Salaam.

Inasemekana Linex alikwenda kukopa nguo dukani kwa mfanya biashara huyo ila mchongo wa kulipa ndio ukawa mchongoma.
Mfanya biashara huyo hakusita kumtafuta Soudy Brown na kumuhadithia mchongo mzima jinsi ulivyokuwa na hatimaye Soudy Brown kumtafuta Linex na kupiga nae story kuhusiana na issue hiyo.
Ubuyu kamili nimekukusanyia kwenye video hii hapa chini, bonyeza play uweze kusikiliza mchongo mwanzo hadi mwisho.

0 comments:

Post a Comment