Monday, February 27, 2017

Naibu Waziri Kigwangalla ameahirisha mkutano wa waandishi wa habari alipotegemewa kutaja wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
- Dkt Kigwangalla amesema kuwa ameshindwa kuwataja mashoga hao wanaojiuza mitandaoni kutokana na sababu za kiufundi.
Tunaomba radhi hatutokuwa na press conference kuhusu kutangaza majina ya mashoga wanaojiuza mitandaoni kwa sababu za kiufundi!

0 comments:

Post a Comment