Super business woman, Jokate Mwegelo apata bahati ya kukutana na Rapper wa kike wa Marekani, Remy Ma kwenye mchezo wa NBA All-Star Game uliofanyika Jumapili mjini New Orleans, Louisiana kwenye uwanja wa Smoothie King Center.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Jokate alipost picha hii akiwa na Rapper huyo..
Mbali na Remy Ma, Jojo pia alifanikiwa kukutana na The Carters wakiwa na mtoto wao, Blue Ivy kwenye mchezo huo. Kukutana na Jay Z na Beyonce ni suala gumu, kukutana nao na ukashikana nao mikono na kuzungumza mawili matatu nao ni suala gumu zaidi.
Lakini bahati hiyo ya imeamuangukia mrembo wa Tanzania, Jokate Mwegelo.
“So NBA Africa took me courtside and I haaaaaaad to say hello to the Carters,” ameandika Jokate Instagram.
“OMG @beyonce is super cute and I can’t believe she shook my hand and was like nice to meet you. I was like wait I need a picture, I came all the way from Tanzania for this B. She’s so sweeeeeet and I’m so lucky lmao,” ameongeza.
“Thank you @beylite @balleralert for this pic I couldn’t snap one as I was shocked and still in disbelief. #Beyonce #Beylite #NBAAfricaGame #NBAAllStar #Kidoti
0 comments:
Post a Comment