Rapper Nick Cannon amemkaribisha mtoto wake wa tatu baada ya kuachana na Mariah Carey ambaye aliza naye watoto mapacha Moroccan na Monroe Cannon.
Nick Cannon na aliyekuwa mpenzi wake Brittany Bell wamefanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume. Nick alitangaza good news hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram na kaundika juu ya mtoto wake huyo chini ya picha ya black and white huku akisema kuwa mtoto wake huyo ni furaha yake ya kweli maishani.
Ujumbe huo ulisomeka hivi, “Weeping may endure for a night, but Joy cometh in the morning! No matter how hard the world may hit you, God always reminds us of our purpose! #TrueHappiness Welcome to Earth Son! Golden “Sagon” Cannon 2/21/17 #Awakened.”
Jina la mtoto huyo wa Nick na mpenzi wake Brittany Bell ni Golden “Sagon” Canon.
0 comments:
Post a Comment