
LIVE HARD TALK:- ....BONGE LA KISS FROM MAMA COOKIE @auntyezekiel ....Mjini ni bonge la Shule yaani Super Wabebezz hawawezi wakakupenda hapa mjini mpaka wajue kuwa una access to Super Wabebezz
...na the more you have Super Wabebezz ni the more they lov U ....kama huna wanaona unataka kujifanyia mazoezi kwenye miili yao ila wewe sio U know ....halafu sijui kwa nini hawa Super Wabebezzz ukiwa Mshua hawapendi kabisa wao wanataka ujitoe fahamu kidogo .....hahahaha ndio wanakupenda mpaka wanaumwazzz......hahahaha like ukiwa unaandika mambo ya maana na msingi sana kimaisha humu Instagram hawapendi ila ....ukiwa kama mimi unachanganya Ushua na Ujinga hahahaha wanakupenda nje ndani hahahaha ....mjini hapa jifunze shule unaweza kuwa na mapesa yako na misuti yako na migari yako na usipate mbebezz unayemtaka kwa sababu hujui elimu ya mjini so ni ushauri wa bure tu chukua au niachie mwenyewe U know .....hahahahaha ...ila all and all Wabebezz wa bongo HAKUNAGAZZ Duniani ....hahahaha asikuambie mtu hawa le Super Mtindizzz ni Balaahaaa yaani ndio Wabebezz Peke yao Duniani ambao wengi wao hawahitaji hata kuvaa Bra na siku hizi hawavai hata underwear saa za jioni ....hahahahaha wallahi WAFWAZZZZ kama huna Super Mtindizzz Rangi ya Mtume .....hahahaha sawa kama huwapendi me I lov it bana ...halafu Bongo kila Mamen anajifanya Mshua kumbe anapenda le Super Mtindizzzz hahahahaa U know me I lov it!....halafu humu Instagram watu wengi wana hasira sana hasa wanaume kumbe hawana Super Mtindizz hahahahaha tafuta wewe kazana Mwanaume hakuna wa kukutongozea humu pigana mwenyewe!.....hahahahaha U know ... - le Mutuz Nation

0 comments:
Post a Comment