Wednesday, February 22, 2017

 Nikki Mbishi baada ya kusema anarudi tena BASATA baada ya jana kusema anaelekea BASATA kisha Central Police kama ailivyoagizwa na kudai kuwa bado uchambuzi wa mustakabali wa Iam sorry JK unaendelea.

XXL ya CloudsFM kupitia Soudy Brouwn imemtafuta kwa simu Nikki Mbishi lakini hakupatikana, akatatafutwa Katibu wa BASATA ambaye majibu yake ni haya hapa chini.
“Jana sikuwa ofisini nilikua na kazi nje ya ofisi huku Wizarani, sasa maswala ya msemaji Polisi sio BASATA.. Kwahiyo yeye mwenyewe anaweza kulizungumzia vizuri zaidi au ukawatafuta polisi”
Hicho alichokizungumzia nadhani kwa kosa inawezekana sahihi  yeye ndio mwenye wimbo na anaweza kuizungumzia kazi yake yeye kama msanii mbunifu

0 comments:

Post a Comment