Wednesday, February 22, 2017

ridhiwani_kikweteNi jambo jema na la faraja kubwa kwangu kama uchunguzi unafanywa.Ni ukombozi kwangu.Ukweli utajulikana kuwa ni uvumi tu usiokuwa na chembe ya ukweli.
Ni maneno ya watu wasionitakia mema.Sina la kuficha.Sifanyi biashara hiyo haramu na wala sijawahi kufikiria kufanya.Ni bora kufa maskini kuliko kutafuta utajiri kwa njia hiyo
F

0 comments:

Post a Comment