Thursday, February 16, 2017

Kuanzia jana siku ya Valentine’s moja kati ya vitu ambavyo vinatrend katika mitandao ya kijamii ni pamoja na hii picha inayomuonyesha mzazi mwenza wa msanii wa Bongo Fleva Barnaba Boy (Mama Steve) akiwa na mwanaume anayesemekana kuwa ni mpenzi wake mpya.

Kitu ambacho kimewashangaza wengi katika picha hiyo ni kitendo cha Mama Steve kuonyesha kidole cha kati, na kupelekea wengi kuhisi kwamba ni fumbo kwa mtu fulani.
Soudy Brown amemtafuta Barnaba bila mafanikio na hatimaye kuamua kumvutia waya Amini Mwinyimkuu ambaye ni rafiki wa karibu sana na Barnaba.
Unataka kujua wameongea nini? Uhondo kamili nimekuwekea hapa kwenye video hii hapa chini. Bonyeza play kusikiliza mwanzo hadi mwisho.

0 comments:

Post a Comment