
Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba amekaa kwenye EXCLUSIVE Interview na AyoTV Johannesburg South Africa dakika chache baada ya kukabidhiwa tuzo yake ya MTV EUROPE ambayo alipewa Wizkid kimakosa lakini November 2016 ikatangazwa kuwa ni halali kwa Alikiba.
Kwenye hii video hapa chini amezungumzia kila ambacho unatakiwa kujua kutoka kwake sasa hivi akiwa Afrika Kusini pamoja na kitu Sony walichomfanyia…
0 comments:
Post a Comment