Tuesday, February 14, 2017

Ni mengi ambayo yalihappen kwenye sherehe za 40 ya mtoto wa pili wa msanii wa Bongo FLeva Diamond Platnumz 
aliyepewa jina la Nillan, lakini kubwa zaidi ni hili la mapovu kutoka kwa mrembo wa Bongo Movie Jacqueline Wolper kuwahusu wote ambao wanatabia za kuedit vibaya picha za mpenzi wa Diamond PlatnumzZari na kuzipost kwenye mitandao ya kijamii.
Soudy Brown ameamua kumvutia waya mrembo huyo na kupiga nae story kibao ikiwemo sababu za yeye kufanya kitendo kile.
Unataka kujua Wolper alijibu nini? Ubuyu kamili nimekuwekea hapa kwenye video hii hapa chini. Bonyeza Play kusikiliza.

0 comments:

Post a Comment