Kama ulipita kwenye mitandao ya kijamii siku ya jana naamini utakuwa ulikutana na baadhi ya picha na hata video zinazomuonyesha binti akifanya tendo la ngono ambaye binti huyo anadaiwa kuwa ni muigizaji maarufu wa Bongo Movie Elizabeth Michael Lulu.
Baada ya picha hizo kuendelea kuzua gumzo mitandaoni Lulu akaona haitakuwa poa kama akiendelea kukaa kimya na kuwapa nafasi watu kuendelea kuongea, hivyo akaamua kuliweka sawa jambo hilo kwa kupost picha iliyoambatana na caption ndeu yenye kuliweka sawa jambo hilo.
Hata hivyo post hiyo ya Lulu haikutosha kumaliza maneno ya watu, hivyo Soudy Brown ameamua kumvutia waya mrembo huyo na kupiga nae story leo kwenye U-Heard ya XXL ya CLouds FM.
Unataka kukijua alichokiongea Lulu? Uhondo wote nimekukusanyina kwenye video hii hapa chini, play uweze kumung’unya ubuyu mwanzo hadi mwisho.
0 comments:
Post a Comment