Sasa mchoongo mzima ni leo hii ambapo Soudy Brown alimvutia waya mwanadada Shilole kwenye U-Heard ya XXL na kutaka kupiga nae story kuhusu tetesi za kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda.
Ndipo Soudy Brown alipomgusia Shilole suala hilo la Don Jazzy kuimba wimbo wa Chura, unajua alijibu nini!? Uhondo wote nimekuwekea hapa chini kwenye video hii hapa chini. Play kusikiliza mwanzo hadi mwisho.
0 comments:
Post a Comment