Wednesday, February 15, 2017

Mama na ndugu wa Marehemu Julia Nyangoma, wakiwa Kanisani siku ya Mazishi huko New York City/USA. Julia alifariki wiki iliyopita huko huko New York, ambako amekuwa akiishi maisha yake yote. Mungu amuweke pema peponi.






















0 comments:

Post a Comment