LIVE
STRAIGHT TALK:- Morning Guys the ART OF FACTS ukweli ni kwamba
MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA anaishitaki Serikali sio RC au RPC kama
wananchi wengi wanavyodanganywa na Media zetu MAKANJANJA na infact sasa
hivi kesi imeahirishwa kwa sababu Kisheria Wanasheria wa
Mlalamikaji wanatakiwa kumjumuisha Mwanasheria Mkuu upande wao ndio maana RC na RPC hawakwenda Mahakamani maana wagejidhalilisha wenyewe bila sababu na ndilo lililokuwa lengo la Mshitaki...
IBARA YA KATIBA ya TANZANIA 33/(2) Rais atakuwa MKUU WA NCHI KIONGOZI WA SERIKALI NA AMIRI JESHI MKUU kwa hiyo kwa maana hii ya Kikatiba RC na RPC wanaitwa Mahakamani kama Mashahidi tu na Watekelezaji wa Majukumu wanayotumwa Na Rais lakini sio Kesi against them isipokuwa Kesi ni Mbowe against Vifungu vya Katiba ya Jamhuri ambavyo vinaipa Madaraka Serikali kutekeleza Majukumu yake....another FACT is Katiba ya Jamhuri IBARA YA 34(3-4) - 34/3 Mamlaka yote ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatakuwa chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano
....halafu 34/4 ...Madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatatekelezwa ama na Rais mwenyewe au kuyakasimu kwa watumishi wengine kwenye Serikali kama RC na RPC ...another FACT is IBARA YA KATIBA YA JAMHURI 61(4) Kila Mkuu wa Mkoa atakuwa na Wajibu wa Kusimamia utekelezaji wa kazi zote za Mkoa aliokabidhiwa.....na Sheria ya Jamhuri ya National Defense Mwaka 1966 no. (24) inamtaja RC kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoani mwake
....na RPC anapewa madaraka yake na Sheria ya Jamhuri inayoitwa THE POLICE FORCE AND AUXILIARY SERVICE ACT CHAPTER 322 now kwa mantiki hiyo RC na RPC ni kama Gari linalobeba Maelekezo ya Rais now kama kesi ya Mbowe ni kama inavyosemwa basi atakuwa analishitaki Gari kwa kumgonga na sio madereva RC na RPC ambao wametumwa tu na Rais Kikatiba
....another FACT ni IBARA YA KATIBA 36(1-4) inampa Rais madaraka ya kumfukuza kazi mara moja RC na RPC au mfanyakazi yoyote yule wa Serikali kwa wakati wowote ule kwa kutotimiza wajibu wao kama anavyowatuma kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri..so Mbowe angekuwa na a Serious kesi against RC na RPC only if Rais angewapa onyo au kuwafukuza kazi kwa kumuita Central!..so HAMNA KESI NI WASTE OF TIME! - le Mutuz Nation

0 comments:
Post a Comment