Friday, February 3, 2017

Kwenye Instagram yake Le Mutuz Nation ameandika kuwa hili ni jiko lake anapoishi kwenye apartment mjini Dar, pia kuna picha zinazo onyesha akiiikarabati nyumba yake kabla ya kuhamia rasmi miaka 3 iliyopita. Kwenye picha zingine hapo chini ni Sebuleni na Chumbani kwake Le Mutuz Nation kama Instagram yake inavyo onyesha.


[​IMG]

[​IMG]







0 comments:

Post a Comment