10: TANZANIA.
09: KENYA.
Wasichana
wa Kenya niwazuri na wanamahaba, Kama unatafuta msichana ambaye ni
mzuri, mwenye mahaba, na anaye jisimamia 'Independent', Mchapa kazi na
sio mvivu... Basi kimbilia nchini Kenya.
08: GHANA.
Haitawezekana
kukamilisha list ya nchi zenye warembo bila kupitia Gold Cost. Wanasifa
ya kuwa Warefu, Wataalamu kitandani, ngozi ya asilia 'Ebony Skin tone'
na wana uhalisi wa Muafrika.
07: NIGERIA.
Wanawake
wa Nigeria niwazuri kutokana na ukubwa wa maziwa yao na walivyo jengeka
miili yao kwa afya. Kati kati ya mwaka wa 1970s na 2011 nchi ya Nigeria
imeongezeka kwa idadi ya watu nakusababisha iwe maarufu barani Afrika.
Hivyo kama unataka mwanamke ambaye atakuzaliwa watoto wazuri basi
Nigeria ndipo ukimbilie.
06: SOUTH AFRICA 'The famous Rainbow Nation'.
Afrika
Mashariki ni nyumbani kwa wanawake warembo barani Afrika, kuwanzia Cape
Town, Johannesburg, Pretoria na Durban. Wanawake wa Afrika Mashariki
utawapata wenye uweupe wa chotara au uweusi halisi wa Afrika.
05: ANGOLA 'Doughters of Atlantic cost'.
Nchi
ya Angola unaweza kusema ni kama Brazil ndogo kwa wasichana wazuri na
warembo, Wasichana wake wakiwa wana rangi ya chocolate scados. Wasichana
wa Angola baazi ni Supermodels ambayo itakuchanganya akili kabisa.
04: CAPE VERDE ISLAND.
Sio
nchi maarufu barani Afrika wala hata kupata wataa kwenda kuitazama,
Lakini kisiwa hicho kidogo ni nyumba ya wasichana na wanawake warembo
walioumbwa Afrika. Wanakauli nzuri ya ukarimu ambayo itakufanya usahau
njaa wakati hukula chakula.
03: ETHIOPIA 'The cradle of humanity'.
Ustaarabu
ndipo ulipo anzia nchini Ethiopia, Wasichana wa nchi hii sio wazuri tu
kwa bara la Afrika bali hata ulimwenguni wamekuwa wakisifika kwa uzuri
wao unao shawishi kutangaza ndoa. Wengine wamekuwa wakidai uzuri wao
umetokana na mchanganyiko wa mbegu 'uzazi' kutoka kwa watu wa Yeamen na
Ethiopia wenyewe.
02: SOMALIA 'Vita haiondoi urembo'.
Kama
hujawahi kukutana na msichana wa Kisomali basi utakapo kutana naye
utachanganyikiwa na kukusababisha uweze hata kusaliti uliye naye.
Chukulia mfano wa Iman, Model aliye tikisa ulimwengu kwa mwendo wake wa
madaha hadi kila mmoja kushangaa. Wanasifika kuwa na macho mazuri, ngozi
ya chocolate, nywele laini na ndefu.
01: RWANDA 'Africa's hidden Apple'.
Niwazuri
na wakuvutia, Weusi wa asili, Wana umbo nzuri na ukarimu, Sauti ya
kimahaba na urefu wakupagawisha. Wakitembea ni sawa na Twiga nyikani
akiwa anatembea. Uzuri wao huwezi kuuelezea.










0 comments:
Post a Comment