Friday, February 10, 2017


Image may contain: 1 person, outdoorAfanya ziara Wilayani KYELA na mkutano wa hadhara kata YA NGANA kwa kuongea na wananchi wa Vijiji na kata zilizopo mpakani MWA Tanzania na Malawi 
- Awaonya wanaosaidia kuvusha wahamiaji haramu na magendo kupitia Njia za PanyaImage may contain: 3 people, crowd and outdoor
- Awataka wananchi KUFANYA BIASHARA za mipakani kwa kuzingatia sheria na taratibu zilizowekwa
- Asema serikali zote mbili zimeweka MIKAKATI YA kuwasaidia wananchi wa nchi mbili KUFANYA biashara vizuri Image may contain: 3 people, crowd and outdoor
- SERIKALI inakamilisha taratibu za kuanza ujenzi wa kituo cha pamoja cha Forodha( One stop boader post) KASUMULU ili kuondoa urasimu na kuongeza biashara 
- Mkoa wa Mbeya unaandaa tamasha kubwa kwa ajili ya wafanyabiashara wa Tanzania na Malawi litakalofanyika 30 JUNI, 2017

0 comments:

Post a Comment