Posted by Williammalecela.com on Saturday, February 04, 2017
Tunda
Man ni msanii wa bongofleva ambaye makazi yake ni Dar es salaam ambapo
February 3 2017 Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda alizungumza
kwenye makao ya Polisi kituo cha kati na kusema miongoni mwa watu
atakaowahitaji wakamuone Jumatatu kwa ishu ya dawa za kulevya ni pamoja
na Tunda.
0 comments:
Post a Comment