USHAHIDI WA DIAMOND PLATNUMZ KUNUNUA VIEWS ‘YOUTUBE’
By Omary Ramsey -7 February 2017, 6:09 pm

Huwezi kutaja wasanii ambao wamechangia kupeperusha bendera ya muziki wa kizazi kipya duniani bila kutaja jina la ‘Nassib Abdul’ maarufu kama Diamond Platnumz.Hoja za kununua watazamaji katika mtandao wa Youtube zilichukua nafasi miezi kadhaa nyuma kati ya Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz.

0 comments:
Post a Comment